Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,662
- 8,787
Nikabofya wimbo wa Roma, kabla haujaja ukaja wa Diamond kama content iliyolipiwa ili niitazame..
Zamani nikajua haya malipo ya youtube na kadhalika ni sehemu ya chanzo cha mapato kwa wasanii kumbe ndio kwanza na wao wanalipia ili viewers waongezeke.
Au ni mchezo wa kutoana trending! Itoke Furahi iingie mapozi!