Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke futa machozi.

Chanzo: East Africa Radio

Wazazi wetu ni Washauri tu na kamwe siyo Waamuzi kwani vile vile na wao pia walipewa Uhuru wao na Wazazi wao.
 
Unadhani wanaanza ukubwani basi, ni tokea utotoni....
Ni mama anamfanya mtoto wa kiume anakuwa 'shosti' ake

Baba ukiwa mbogo sana unatengeneza mashosti, watakuwa wanakuogopa wewe halafu wanakimbilia kwa mama yao mwisho wa siku wanakuwa madume-jike
 
Back
Top Bottom