Huwa inatokeaa mzee usipanikii... Jaribu kuwaulizaa wana wenginee na ukishindwa nenda kwa IT wenuu atakusaidiaa..!!Okay Asante
so hii ndo helpdesk ya aris udsm?wasomi njaa bana!!kweli common sense is not commonWakuuu Kama kichwa kinavyojieleza ni kwamba naomba mnisaidie Aris yangu inafail kufunguka kila nkijaza username and password but still haifunguki litakuwa nin tatzo?
Nilifungiwa matokeo nkaverify ada toka hapo kila nkifungua naambiwa failed na Kama nmedisco kwann hawaruhusu nione matokeo yang
An nachanganyikiwa kwa kwelAris inafunguka bila matatizo yeyote.. Mbona hata ya kwangu inafunguka vizuri tu,kuna some mistake unafanya
An nachanganyikiwa kwa kwel
Username c reg no yangu na password ni sirnameHyo username yako na password unaingizaje
Hay Asante kijanaHuwa inatokeaa mzee usipanikii... Jaribu kuwaulizaa wana wenginee na ukishindwa nenda kwa IT wenuu atakusaidiaa..!!
Upo mwaka wa ngapi? Nenda ARIS pale library watakusaidia au department yako kwamtu anaehusika Na Aris atakusaidia. Ungekua CoNAS ningekueleza, Mimi mwenyew kipindi nilikumbwa na mikasa hiyo mwaka wa kwanza.Wakuuu Kama kichwa kinavyojieleza ni kwamba naomba mnisaidie Aris yangu inafail kufunguka kila nkijaza username and password but still haifunguki litakuwa nin tatzo?
Nenda department, au college yako hapo watakurekebishia.Nko mwaka wa 3 nilienea library wakaniuliza unadaiwa but nkasema hapana na nilifungiwa matokeo Mana niliambiwa nadaiwa lak 650000 ada ya semester nkaverify
Alafu kijana inakuaje hadi mwaka wa 3 bado unatumia surname, binadamu tunatofautiana wahuni wanaweza kua wamekuotea kisha wakabadirisha password. We chamsingi fuata ushauri tulip kupatia.Nko mwaka wa 3 nilienea library wakaniuliza unadaiwa but nkasema hapana na nilifungiwa matokeo Mana niliambiwa nadaiwa lak 650000 ada ya semester nkaverify