Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,138
- 3,266
Ningekuwa mimiMuda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila ku"
Kisha akakata simu na kutoka nje ya chumba kile.
Mwisho
Andiko ni zuri sana kwa kuwa ndani yake kuna funzo zuri kwenye maisha ya uhusiano wa kimapenzi. Hapa kuna kosa zaidi kwa mke.Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda.
Alijalibu kufanya jaribio la mashambulizi ya moyo wa mumewe hatimae pigo lime mrudia yeye Kwa uzembe wa mke kuacha kwato zake nje kidogo na mumewe kuzi zoom kwato izo na kustukia mchezo kirahisi😂😂😂Andiko ni zuri sana kwa kuwa ndani yake kuna funzo zuri kwenye maisha ya uhusiano wa kimapenzi. Hapa kuna kosa zaidi kwa mke.
Kwamba alifanya jaribio bila ya kuwa tayari kwa matokeo yoyote ambayo yatajitokeza. Ndiyo maana alikuwa akilia kwa kilichofanywa na mumewe.
Lakini, kosa la wote wawili ni kutojali maumivu ya mwenza wake. Kwenye maisha ya mapenzi kutojali maumivu ya mwenzako ni kosa baya sana.
Ova
Umevurugwa wewe😂😂😂🤪🤪🤪🤪
jamaa kanogesha mambo bana, amemtease kidogo😂Lakini, kosa la wote wawili ni kutojali maumivu ya mwenza wake. Kwenye maisha ya mapenzi kutojali maumivu ya mwenzako ni kosa baya sana.
Ova
Hakutakiwa kumwacha na machozi. Kwa kawaida utani kwenye mapenzi hautakiwi kuleta machozi.jamaa kanogesha mambo bana, amemtease kidogo😂
🤣🤣🤣Alijalibu kufanya jaribio la mashambulizi ya moyo wa mumewe hatimae pigo lime mrudia yeye Kwa uzembe wa mke kuacha kwato zake nje kidogo na mumewe kuzi zoom kwato izo na kustukia mchezo kirahisi😂😂😂
Naona umefurahia hii mada kwelikweli b…🤣🤣🤣
Mume asingerudisha pigo tena kwa mke hadi akamfanya atokwe na machozi. Haipaswi kumfanya mpenzi alie kwa kuumia.
Kwenye mapenzi huwa hakuna ule msemo wa - Dawa ya Moto ni Moto -, huku dawa ya moyo inaweza kuwa hata asali.
Ova
Lols! Hapana b..., haiko hivyo. Kila kitu kuhusu hii ni kwa ajili ya hii tu.Naona umefurahia hii mada kwelikweli b…
Kwamba aliyezima data limemkuta jambo? We haya b…
Ni kama ulipata pa kusemea b... Nilijikaza sana kusema hivi.Lols! Hapana b..., haiko hivyo. Kila kitu kuhusu hii ni kwa ajili ya hii tu.
Ova
Ah wapi! Ulifikiria tu tofauti b..., huku ni mbali sana. LolNi kama ulipata pa kusemea b... Nilijikaza sana kusema hivi.
Maana uliikomalia kwelikweli! Kila reply ya moto!
Lols
Huo ni uwongo huo ni uwongo bwana🤣🤣🤣
Mume asingerudisha pigo tena kwa mke hadi akamfanya atokwe na machozi. Haipaswi kumfanya mpenzi alie kwa kuumia.
Kwenye mapenzi huwa hakuna ule msemo wa - Dawa ya Moto ni Moto -, huku dawa ya moto inaweza kuwa hata asali.
Ova
Kwenye mapenzi huwa inawezekana, japo inastaajabisha sana. 🤣🤣🤣Huo ni uwongo huo ni uwongo bwana
Ushawai wap kuona asali inazima moto🤪🤪🤪🤪