Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 58,045
- 92,768
Shalom.
Upendo FM wamepatwa na shida Gani Hadi wajitoe online? Nimekua msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya maombi; Morning and Evening Glory, kile cha SAA Tano/sita mchana hadi saa Saba, ibada za jumapili n.k. kwa muda mrefu sana.
Nashangaa ni week ya pili sasa wamejitoa kabisa online kwa TuneIn Radio na ONLINE RADIO BOX ambazo zilikua easily accessible kutoka pembe yoyote ya Dunia.
Nini kimetokea? Tunawezaje kusaidia warudi hewani?