Ndugai alikuwa mgonjwa kitambo, hivi juzi tu ndo ameponaNajiuliza tu;
Mheshimiwa Spika wetu, Mheshimiwa Job Ndungai, more often than not, haonekani kitini na hata katika shughuli za kitaifa ambazo bunge pia linahusika!,
KulikoniI?!
Najiuliza tu;
Mheshimiwa Spika wetu, Mheshimiwa Job Ndungai, more often than not, haonekani kitini na hata katika shughuli za kitaifa ambazo bunge pia linahusika!,
KulikoniI?!
HahahahahahaAnatafuta Sukari kwanza.
Ndugai alikuwa mgonjwa kitambo, hivi juzi tu ndo amepona
Anaumwa nini ? Shukrani kwa Mola , Malipo ni hapahapa , kumtwanga na mchi kichwani daktari wa watu hakutaenda bure .Ndugai alikuwa mgonjwa kitambo, hivi juzi tu ndo amepona
RICHMONDULIHuyu ndo kiongz wa kuombewa, siyo huyo tapel aliyeuza nyumba zetu ambazo zilijengwa kwa kod zetu, hakika huyu tapel alaaniwe kabsa
Mkuu siku hizi polisi wanaungaunga maneno mpaka utajikuta hatiani kwamba umemtukana hata kama hujamtaja! Mind your keyboard Mkuu!Huyu ndo kiongz wa kuombewa, siyo huyo tapel aliyeuza nyumba zetu ambazo zilijengwa kwa kod zetu, hakika huyu tapel alaaniwe kabsa
Yah hayuko vizuri kiafya, yule aliyemtandika bakora wakati wa kampeni kaamua kufanya yakeNahisi afya yake haiko sawa! System ilimweka sawa wakati wa escrow sasa hawakujua kama atakuja kuwa speaker, too bad
mwacheni dada shangazi asimamie. ata akina mama walitukanwa yeye kaona sawa. Asante mama 6 uliguswa....sasa tunamsubiri uyo mh. aliyewatukana wake zetu ajitokeze na kuomba radhi, vinginevyo....kaletewa Shangazi pale hafurukuti,kaniboa juzi alivo watonya wasema ndio kuwa kuna mswada unletwa eti wausome vzr wasikurupuke kisa utawabana biashara zao,mbona ile ya hovyo walioipigania hakutoa angalizo hilo? aibu sana nchi yetu,