Kula Masongwe Kama Nyani Uepuke Magonjwa Kibao!

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
537
755
Denis Mpagaze
IMG-20240804-WA0057.jpg

1. Haya matunda watu wa Songwe, Mbeya, Iringa na Njombe wanayaita masongwe; wahaya, wanyambo na waganda wanayaita tuntunu!

2. Waha, warundi na wanyarwanda wanayaita intumbaswa! Kongo wanayaita mbumba, wasangu wanayaita manjangu, wakurya na wazanaki wanayaita ichintonono!

3. Kwa kilingala yanaitwa nyikwefo, wabena wanayaita soomba, ichupwa kwa kipare na ndumbua kwa Kisambaa!

4. Wasukuma wanayaita bhuntunyantunya, wakalenjini wa Kenya wanayaita orimboinyi, Moshi yanaitwa machupwee na Tanga ni masupu.

5. Cha kushangaza kila unayemuonyesha haya matunda anakwambia "nayajua haya, niliyala sana nikiwa mdogo, sikumbuki hata yanaitwaje! Bure kabisa😄! Unasahau mali!

6. Wazungu wanayaita *gold fruits, yaani dhahabu! Ukijenga utamaduni wa kula haya matunda utajiweka mbali na magonjwa kibao!

7. Una taifodi sugu? Gesi inajaa tumboni kama mtungi wa gesi? Tumbo linaunguruma kama umemeza chura?

7. Chukua maji ya moto lita tatu hivi, tia majani ya msongwe, kunywa glasi zako mbilo kila siki kwa siku tatu utaniambia!

8. Ukilala ukaamka viungo vyote vinauma utadhani ulikesha unalima? Ukikaa kwa muda mrefu kuinuka unapiga kelele kwa maumivu?

9. Huna haja ya kugonga energy kama wanavyofanya watu wengi. Haya matunda ni mbadala wa energy.

10. Unajisikia mwili umechoka gonga matunda kadhaa, inatosha!

11. Wale msiotaka vitambi uzembe, suluhisho ni haya matunda. Huhitaji kushinda njaa kupunguza uzito na wala huhitaji kunyonga tumbo lako kwa mikanda ili kuondoa kitambi!

12. Dkt. Sebi alisema, tunaugua kwa sababu ya wingi wa asidi mwilini. Ili mwili ukae sawa asidi inabidi ipungue mwilini. Haya matunda ni kiboko ya kuondoa asidi mwilini.

13. Tumezungukwa na sumu za viwandani, sumu za vyakula, sumu za vinywaji, sumu za madawa. Tunazitoaje? Kula masongwe mwamba simu zitaisha.

14. Magoti na joints zinauma? Gonga haya madude utakaa sawa!

15. Ukipanda mmea huu shambani kwako itakuletea baraka za mavuno mengi.

16. Ukiupanda kwenye bustani ya nyumbani kwako nyumba yako itajaa upendo, amani na mshikamano.

17. Ukiupanda karibu na duka lako utapata wateja mpaka utawakimbia mwenyewe. Ni mmea wenye nguvu ya mvuto!

18. Lakini pia majani ya mmea huu ni dawa ya wadudu waharibifu shambani. Unatwanga majani yake, unaweka maji then unamwagia kwenye mimea yako, wadudu hawatui

19. Hata ukiyapanda kuzunguka shamba wadudu waharibifu hawafiki. Unaona maajabu ya Mungu?

20. Haya matunda huua vimelea vya kansa. Hii ina maana gani? Kila unapoyala unapunguza hatari ya kupata kansa!

21. Husaidia hata mmeng'enyo wa chakula. Siyo unakula leo unasikia njaa kesho. Huu ni ugonjwa.

22. Macho yako hayaoni vizuri? Kula haya matunda, kunywa supu yake. Chukua majani chemsha, weka maboga kula. Ni bonge la supu!

23. Kolombia ndiyo mzalishaji mkuu wa haya matunda na anauza sana Ulaya na USA. Afrika hatulimi. Yanajiotea maporini tu. Tunaita matunda ya nyoka.

24. Haya matunda ni kiboko ya malaria, pumu na uvimbe unaojitokeza mwilini. Ulaya wanatumia matunda haya kutibu figo.

25. Presha ya kupanda inakusumbua? Kula songwe itakaa sawa.

26. Pua zimeziba? Chemsha maji, chukua majani ya hii kitu, weka kwenye maji moto, kunuwa, pua zitazibuka.

27. Huko Hawaii wanayaita poha, India wanayaita ras bhari, Peru wanayaita aguaymanto, Ecuador wanayaita uvilla, Colombia wanayaita uchuva, Misri wanayaita, harankash, wachina wanayaita pinyin na Uturuki wanayaita Altin çilek, Wazungu wanayaita cape gooseberry.

Changia tafiti na makala za lishe asilia kwa Mpesa 0753665484!

Cheers
Mwl. Denis Mpagaze
Muhenga wa Karne ya 21!
 
Denis Mpagaze
View attachment 3061747

Sisi wakwere tunaita Cape gooseberry or Peruvian groundcherry
Na lugha ya kitaalam tunasema Physalis peruviana
 
Dah mwisho kabisa umegeuka Lucas mwashambwa AKA Mama bashite ukaweka namba ya m.pesa huu sio ujasiliamali kweli
 
Nilisikia sisi ni wabantu ila naona wahaya,wasukuma na wakulya jina linasound kidogo the same makabila mengine sasa.
 
Dosage yake ipoje na inaandaliwaje?

-Kaveli-
Mtoa post kaandika. Ila mimi nachuma majani yake ya kutosha kiganjani. Natwanga mpaka yalainike na kisha nachemsha kwa lita moja na nusu ya maji. Yakipoa, kunywa glasi moja asubuhi kabla ya kula, kila siku kwa siku 3.

Dawa ni chungu sana, hakikisha unakunywa chai au unakula chakula mara baada ya kuinywa. Hutaugua tena magonjwa yoyote ya tumbo!
 
Attachments

  • IMG_20240806_154506_874.jpg
    IMG_20240806_154506_874.jpg
    1.3 MB · Views: 12
  • IMG_20240807_175048_330.jpg
    IMG_20240807_175048_330.jpg
    1.7 MB · Views: 11
Back
Top Bottom