Kuku wangu hawatagi?

Aug 16, 2015
14
2
Wadau ninaomba ushaur. Baada ya kusoma sana humu jf kuhusu ufugaji wa kuku faida na changamoto zake. Nikaamua nianze kukufuga Kuku chotara.kwa sasa Nina tetea 60 na majogo 10 wanao panda ambao nilitegemea waanze kutaga mwez 11/2016 lakin mbaka sasa wanatetea tu hawatagi. Naomba ushaur nifanye nn?
 
Na majogoo nayo ni machotara maana hao machotara wana tabia hiyo ya kuchelewa kutaga hata na kutungisha mayai(kwa madume)
 
Kunamtaalamu mmoja aliniambia eneo ninalofugia ni dogo.
Mtaalamu mwingine kanambia eneo lako ni kubwa sana.
Ok
Banda linaukubwa wa ft6 upana ft14 urefu ft8 kimo.na eneo la kucheza ni ft10×10. Kwa Kuku mia hilo ni banda dogo au kubwa?
Wadau
 
Labda umewanenepesha sana ua huwapi dagaa
 
Reactions: etb
Kunamtaalamu mmoja aliniambia eneo ninalofugia ni dogo.
Mtaalamu mwingine kanambia eneo lako ni kubwa sana.
Ok
Banda linaukubwa wa ft6 upana ft14 urefu ft8 kimo.na eneo la kucheza ni ft10×10. Kwa Kuku mia hilo ni banda dogo au kubwa?
Wadau
Kwa ukweli banda ni dogo...kulingana na idadi ya kuku...hiyo ni sawa na (1.8m×4.2m) na kwa square meter Kuku wanakaa 4-5
 
Na majogoo nayo ni machotara maana hao machotara wana tabia hiyo ya kuchelewa kutaga hata na kutungisha mayai(kwa madume)
Kuku chotara ndo wanawahi kutaga kulko Kuku wakienyeji na majogoo hawahusiki kwa mitetea kutaga labda kama mayai yanatumika kutotoresha ndo utahitaji jogoo...
 
Kuku chotara ndo wanawahi kutaga kulko Kuku wakienyeji na majogoo hawahusiki kwa mitetea kutaga labda kama mayai yanatumika kutotoresha ndo utahitaji jogoo...
Mhhhhh,ngoja nitulie kwanza ila mi ninao hao chotara wana muda hawajataga nahisi bado hawajafikia kutaga.......sasa wa huyu jamaaa mhhhhh!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…