Kuku wa mapambo wanauzwa

May 31, 2022
20
19
MWALIMU GROUP LIMITED
TUNATOA OFA KWA WATEJA WETU WOTE.

OFA YA SIKUKUU
Ungana nasi katika sherehe za sikukuu kwa kuwa mmoja wa mwanafamilia wa BRAHMA.

Sasa unaweza pata vifaranga kwa bei
Zifuatazo kama ofa ya sikukuu

YAI 25,000
KIFARANGA 35,000
KIFARANGA WIKI 45,000
KIFARANGA WIKI MBILI 55,000
KIFARANGA WIKI TATU 65,000
KIFARANGA MWEZI 70,000
MWEZI NA NUSU 100,000
MIEZI MIWILI 160,000

OFA HII IMEZINGATIA NI THAMANI YA BRAHMA KWA SASA.

IKUMBUKWE...
1. Anauwezo wa kutaga mayai mengi zaidi ya 250 kwa mwaka, anafikisha kg 5-8

2. BRAHMA ni kuku wa mapambo na urembo.

3. BRAHMA anafundishika na anaefuga sio tajiri tu ila ni mtu mwenye hobby na upendo nao.

4. BRAHMA sio wa kumfananisha na mbuzi au ng'ombe ni kuku wa kufananisha na ndege wa mapambo kama njiwa , kasuku na wanyama wa mapambo kama mbwa wa pesa nyingi paka wa pesa nyingi n.k

5. BRAHMA thamani yake pia inachangiwa na wafugaji kuwa wachache na kuwa kuku adimu.

6. BRAHMA ni kuku anaemudu mazingira yote kisasa na kienyeji.

7. BRAHMA anakula chakula sawa na kuku wengine kama chotara n.k

8. BRAHMA anahimiri magonjwa kwa kiasi kubwa ukifananisha na kienyeji ya tanzania.

9. BRAHMA ni kuku giant zaidi duniani.

10. Utajiri sio kigezo cha kufuga BRAHMA
Bali upendo , biashara , pambo na urembo n.k

TUPO DAR ES SALAAM GOBA NJIA NNE 0676 176 742 MIKOANI TUNATUMA.

NB: KWA WASIO HITAJI BRAHMA
PIA TUNA CHOTARA KAMA KROILER SASSO TANBRO KIFARANGA 1500 NA WA MWEZI 5000.

0676 176 742 Dar es salaam GOBA NJIA NNE

IMG_20221225_152341_519.jpg
 
Kuku wa mapambo binaadamu sasa tumeanza kufikiri kinyumenyume, mapambo ya kuku aisee.
 
Kila nikimuona kuku nawaza supu,lost,mkaangizo leo hii awe wa pambo tu daah
 
Yaani nifuge kuku kwa ajili ya urembo...mm nikifuga kuku ni kwa ajili ya kula tu na si vinginevyo
 
Picha moja pekee haitoshi kuniaminisha ninunue kuku mmoja kwa bei ya mbuzi weka picha za kutosha mbona jogoo wa kawaida huyo
 
MWALIMU GROUP LIMITED
TUNATOA OFA KWA WATEJA WETU WOTE.

OFA YA SIKUKUU
Ungana nasi katika sherehe za sikukuu kwa kuwa mmoja wa mwanafamilia wa BRAHMA.

Sasa unaweza pata vifaranga kwa bei
Zifuatazo kama ofa ya sikukuu

YAI 25,000
KIFARANGA 35,000
KIFARANGA WIKI 45,000
KIFARANGA WIKI MBILI 55,000
KIFARANGA WIKI TATU 65,000
KIFARANGA MWEZI 70,000
MWEZI NA NUSU 100,000
MIEZI MIWILI 160,000

OFA HII IMEZINGATIA NI THAMANI YA BRAHMA KWA SASA.

IKUMBUKWE...
1. Anauwezo wa kutaga mayai mengi zaidi ya 250 kwa mwaka, anafikisha kg 5-8

2. BRAHMA ni kuku wa mapambo na urembo.

3. BRAHMA anafundishika na anaefuga sio tajiri tu ila ni mtu mwenye hobby na upendo nao.

4. BRAHMA sio wa kumfananisha na mbuzi au ng'ombe ni kuku wa kufananisha na ndege wa mapambo kama njiwa , kasuku na wanyama wa mapambo kama mbwa wa pesa nyingi paka wa pesa nyingi n.k

5. BRAHMA thamani yake pia inachangiwa na wafugaji kuwa wachache na kuwa kuku adimu.

6. BRAHMA ni kuku anaemudu mazingira yote kisasa na kienyeji.

7. BRAHMA anakula chakula sawa na kuku wengine kama chotara n.k

8. BRAHMA anahimiri magonjwa kwa kiasi kubwa ukifananisha na kienyeji ya tanzania.

9. BRAHMA ni kuku giant zaidi duniani.

10. Utajiri sio kigezo cha kufuga BRAHMA
Bali upendo , biashara , pambo na urembo n.k

TUPO DAR ES SALAAM GOBA NJIA NNE 0676 176 742 MIKOANI TUNATUMA.

NB: KWA WASIO HITAJI BRAHMA
PIA TUNA CHOTARA KAMA KROILER SASSO TANBRO KIFARANGA 1500 NA WA MWEZI 5000.

0676 176 742 Dar es salaam GOBA NJIA NNE

View attachment 2463409

Kiongozi naomba ufafanuzi hapo chini'
1. Umesema kuku wa mapambo, unamaanisha nini? au pengine hii sifa ungeitoa
2. Umesema wanafundishika una maanisha nini? ungeandika vitu angalau vitatu anavyoweza kuvifanya baada ya kufundishwa, ili ueleweke
3. Anaweza kuliwa akiwa na umri gani? na dhala yake ikoje
4. Anaweza kutamia mayai?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom