Kukosewa kwa daraja (class) cheti cha diploma

Said kinyombe

Member
Oct 16, 2021
13
25
Habari wakuu.
Mimi cheti changu cha diploma kimekosewa, nimekirudisha kirekebishwe ila nimeomba kazi kupitia ajira portal je nikiitwa kwenye interview natakiwa niende na document gani mbadala wa hiko cheti nilichokirejesha kwa ajili ya marekebisho. Maana chuoni wananizungusha kwamba cheti bado hakipo tayari
Ahsante nawasirisha
 
Kilikuwa kimekosewa nini majina au?
 
Komaa na chuo waache mchezo na maisha yako.

Katie kambi chuoni, ada si ulilipa mzee?

Na hili unataka uwatwishe mzigo Utumishi kuanza kugombana nao siku ya usahili?
 
Back
Top Bottom