Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,338
Ukimsikiliza RPC wa Songwe na kama Utamuelewa basi wewe utakuwa na akili nyingi kuliko hata Yesu Kristo au Mtume Muhammad, kiukweli haeleweki na anatumika tu kama ilivyo ada
Bali Kinachofichwa na ambacho anakijua ni kwamba Ametumwa kukamata Mbowe ili kuvuruga Kampeni za Chama hicho Mbeya na Songwe, ambako Mbowe na timu yake wamepanga kuhutubia, Hakuna sababu yoyote ya kijinga au ya maana ya kumsingizia Mbowe kumpiga mawe Polisi, huu ni uongo wa kiwango cha chini sana!
RPC anapaswa kukumbuka kilichomkuta Aliyekuwa IGP Omari Mahita, Ambaye rekodi yake ya kuumiza Wapinzani bado haijavunjwa, huyu baada ya kustaafu alishitakiwa kwa kesi ya Aibu ya Kumjaza mimba House girl wa nyumbani kwake na kukataa matunzo.
CCM waliokuwa wanamtumikisha hawakuweza kumuokoa
Nchi hii inavyo vyama vingi vya siasa, tukianza kuvizia wengine misituni ili kuwadhalilisha hatutabaki salama