habari zenu wanajamvi, naomba kujuzwa namna ya kujua gari linamilikiwa na nani, yani jina na vtu vngine mda liliotumia,
aksanteni

Pdidy kuna kaiba akaunti yako? Mbona huu muandika kama sio wewe??omba kadi ya Gari Origin...warning ku confirm ni yake nenda mwenyewe TRA cheki nao kuna waliolia na kadi za magari feki
2.kwenye kadi azionyeshi imekuja lini inaonyesha muda uliotengenezwa..eg nina gari ya manf 2003 lakini imekuja 2008
so utakachoona ni muda wa kutengenezwa...kuna makaratasi ya ziada ya manunuzi yale yanaonyesha siku gari lilipoingia nchini ...
ila kama unataka muda wa matumizi utaona kwenye kadi ...lini imeingia niiiiii shiidaaaaaa
kujua madai ya serikali tuma ujumbe KADIRIA T.... then tuma kwenda 15341. kuhusu mmiliki hadi TRA.
RE LICENSING
Kodi ya gari TXXXXXX ni Sh. Xxx.xxx.00 kwa kipindi cha siku/mwezi/mwaka saa:dakika:sekunde - siku/mwezi/mwaka saa:dakika:sekunde. Kulipia, tafadhali jisajili kupata namba ya malipo.
angalia kadi ya gari itakuwa na maelezo ya kutosha,mm binafsi ninauwezo wa kuangalia data base ya magari yote tz ila kwa sababu maalum tuyani kuna namma kupitia mtandao unajua mf dalali anakwambia hii gar ya flani co ya cku nyingi ss unajihakikishiaje hlo?
kwa nini umetumia sidhani wakati huo ndiyo uhakika kwa asilimia mia moja. unakuwa kama Pinda acha hizoHii sidhani kama itakupa mmiliki au mwaka wa kutengenezwa au kuingizwa nchini. Bali inaweza kukupa taarifa kama hii hapo chini.