RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,041
- 510
Nili confirm kujiunga TIA siku moja kabla ya muda kuisha na mfumo ulinikubalia vizuri tu, na pia ilikuwa baada ya TIA kutoa orodha ya first round kabla dirisha kufungwa, nisingekuwamo sababu niliyoeleza, sasa sijajua kama mimi ni mwanachuo rasmi wa TIA au watatoa orodha nyingine ili niwe na uhakika?
Nadhani swali hili na jibu lake litawafaa wengi wakati huu.
Wenye uelewa tusaidieni tafadhali
Namba ya simu ya TIA HAIPOKELEWI.
Nadhani swali hili na jibu lake litawafaa wengi wakati huu.
Wenye uelewa tusaidieni tafadhali
Namba ya simu ya TIA HAIPOKELEWI.