Kuishi kwenye nyumba iliyochini ya mnara wa simu kuna madhara

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
399
146
Hello wadau, naomba kujua kama kuishi kwenye nyumba iliyochini au karibu na mnara wa simu kuna madhara mtu anaweza kupata? Na kama kuna madhara kwa nini serikali inaruhusu mitandao ya simu kujenga minara yao karibu au kwenye makazi ya watu? Msaada tafadhali
 
Mkuu madhara yapo japo athari zake si za haraka minara ina radiate mionzi ya umeme ilioambatana na sumaku E.M waves mionzi ni huwa ktk kiwango kikubwa kwa ajili ya kuunga base station moja na nyingine
 
Madhara ni makubwa sana yaani Mungu saidia kuna watu wengi wameathirika duniani na hapa wengi wameisha athirika lakini hawajijui kuna picha nimeziangalia kwa waathirika wa minara inatisha
 
Naona Watu wanajibu kwa Mizuka Mizuka Hakuna Mwenye Jibu la Kisanyansi....

Utadhani Waganga Wa Tiba Asilia
 
Naona Watu wanajibu kwa Mizuka Mizuka Hakuna Mwenye Jibu la Kisanyansi....

Utadhani Waganga Wa Tiba Asilia
hakuna research za uhakika hadi sasa kuhusu madhara yake, zipo research kama mbili nilizisoma moja ya ujerumani na nyengine ya israel walipima watu wanaokaa karibu na minara wakakuta ni rahisi zaidi kupata cancer, lakini pia zipo research nyengine zimefanyika wamesema hio mionzi haisababishi cancer. mpaka sasa hakuna jibu la uhakika ila wenzetu wanachukua tahadhari mapema wana limit ya mionzi ambayo mtu wa kawaida anatakiwa kuipata hivyo minara na simu hupimwa ili isidizshe hio limit

huku kwetu sijawahi sikia na sidhani kama kuna limit hio na watu wanaogopa minara ila simu za kichina zisiouzwa ulaya na marekani au china kwenyewe ni hatari zaidi ya hiyo minara sababu inatoa mionzi mingi zaidi.
 
Hapo sawa chief. .. Mi nijuavyo Sana sana ni kwenye simu hizi za michina ndo huwa zina Madhara sana Kwenye Mionzi.. maana kuna simu Moja Zamani ya kipindi simu za michina za TV na antenna nilimwomba mtu Nipige Simu kidogo... wee sikio utadhan linawaka Moto mara ukimaliz Unaanza Kujikuna tena
 
saaana tu tena makubwa utaanza kuzaa watoto wenye vichwa vya kama virus vya ZIKA
Hii ndo taaluma yangu, so am well aware of what I am talking.
This is a popular misconception about mobile phone base stations. measurement of radio waves around a base station is done using a broadband meter.
For statrters, exposure to Radio waves depends on the transmission power, This Transmission power is determined by the intended coverage area.
Now, exposure to Radio waves greatly reduces as the distance between the subject and the transmitting antenna increases. having said that, now let us analyze a mobile Base station(Mnara).
The coverage area of base station in the urban areas is relatively small since there are many obstructions(buildings) its better to have many small base stations covering every possible angle. Since the coverage area is small the transmission power is very small. In rural areas the coverage is abit wide and the transmission power significantly higher. but it cost more to transmit at high power, so mobile carriers prefer to link base stations and transmit at low power around centres where there is more traffic(wateja).
Lets talk specifics, A 1500W Base station with a typical coverage of 35km radius will have only 20 watts transmitted through each antenna which are typically 3. In order to come close to the radio waves exposure limit of this antenna you will have to be about 1 to 2 meters from the FACE of the antenna, this means that if the antenna is above head height then you are already clear of the exposure area limit. with most tower heights being above 15 meters high the radio waves hit the ground level at about 60 to 100 meters, this means that the exposure to radio waves at this distance is a thousand times below the limit.
On the other hand, the circular dish like antennas are called Radio links, the radio links, link different base stations to one another to eventually form a network. Radio links produce a pencil beam at very high frequency(microwave) and at very low power, at this transmission power, the measuring probe of the broadband meter will have to be inside the antenna to even come close to the Radio waves exposure limits. This means that even standing infront of the antenna you'll still be clear of the radio waves limit area.
What we should be worried about are the TV and Radio transmission sites. Since they require a very large coverage area, in the range of hundreds of kilometers. their transmission power is very large and so is the Radio waves exposures. To give a clearer picture, ukienda transmission site ya radio stations kwa mfano Radio Free Africa pale Igoma Mwanza nane nane. wana hadi Transformer ya Tanesco pale since their power consumption is huge.
so if you ask me, ntaishi kwenye nyumba iliyo CHINI ya mnara wa sim any day but sio iliopo KARIBU na transmission site ya radio au TV.
 
mkuu hiyo mionzi kitaalam inaitwa non-ionizing radiation (Electromagentic waves) ni tofauti na ile ionizing radiation inayotolewa na nuclear material. Kwa hiyo madhara ya hiyo mionzi ni madogo sana tena sana (negligible), Labda uwe karibu nayo sana for instance less than 2 meter. Hata nchi zizlizoendelea hiyo minara ya simu ipo karibu na makazi ya watu. sema kwenye nchi za wenzetu wanapenda kuirefusha zaidi, kwa vile inapokua mirefu zaidi ndio inakua haina madhara kabisa.
 
you're greater thinker
 
msijemkafanya nihame geto nlilopanga mana nje ya dirisha tu kuna mnara wa tigo.
 
Mkuu lugha zilizokuja na makontena wengine hatuzifaham
Tutafsrie tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…