PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,838
- 19,444
Kuiondoa CCM ni sawa na kupoteza muda kwasababu chama kingine kitakachochukua nafasi ya kuongoza kiuchumi kitakuwa kina tumia mfumo huu wa sasa.
Sina elimu ya juu kama great thinkers wengi humu ndani, hiki ninachosema si biblia au msahafu, ni mawazo na msimamo wangu binafsi nilioamka nao leo
Nasema hivi kwasababu sioni kama bara letu la Afrika lina uhuru wa kujiamulia mambo yake. Sisi bado tunapangiwa kila kitu cha kufanya mpaka bei za mazao na rasilimali zetu.
Tumekaa tunapiga kelele kuhusu Mama Samia na CCM lakini wasomi wetu na wawakilishi wetu wote hawataki kusimama kwenye ukweli kwasababu wanazozijua.
Mfumo wa siasa na uchumi, si kwa Tanzania tu, wa bara letu la Afrika unasimamiwa na mataifa ya magharibi ndio maana nasema hata akija Mbowe madarakani nothing will change. Wote hawana kiburi mbele ya mzungu. Wote hawako kwa ajili ya Afrika.
Hawapo kusimamia mitazamo ya wakina Mwalimu Nyerere, Thomas Sankara, Patrice Lumumba na wana wa Afrika wengine. Wako kifamilia zaidi kuliko bara letu tukufu. Wako kwa ajili ya kusujudia bwana zao kuliko kutetea mtu mweusi mzawa.
Kwa hili nina mifano mingi, lakini nisifanye gazeti liwe refu nitatoa kwenye comments.
Nini kifanyike? Walivyofanya GenZ wa Kenya kifanyike kwa Afrika nzima. We need revolution. Sio Ruto must go tu, Samia must go, Kagame must go, Haikande Hichilema must go, Filipe Nyusi must go na wengineo wote pamoja na system nzima waende tuanze upya. Otherwise tutakuwa masikini mpaka wajukuu na vitukuu watakuja kutulaumu.
I said.