UtajijuHatutaki. Uzalendo umetushinda. Ninyi hamkumbuki mlichotufanyia?
Kawekezeni za kwenu (if any).Hizo fedha mngewekeza kwenye kutafuta vipaji na sio kuwapamba magalasa mliowaokota mnakofahamu wenyewe. Ajabu na aibu nim kua mtaishia kufungwa. Soka la bongo ni la kudanganyana na kutafuta umaarufu. hasa hasa kwa viongozi..
Kufungwa kwa Yanga sio mjadala ni haki yake kufungwa.Kawekezeni za kwenu (if any).
Wakubali pia kama kikitokea kitu chochote uwanjani kibaya au maafa ambayo hatuombei au hata vitu kuharibiwa uwanjani basi wawajibike pia maana kuachia uwanja bure ina maana hakuna control kila mtu ana haki ya kuingia si bure ila hatari ni kubwa kuliko wanavyofikiria.Usalama utakuwaje? Hii Vita ya yanga Na TFF sijui itaisha lini.!