lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Jamani Snura, Snuu Sexy mchaga mwenzangu tunapanda wote meridian mi nashuka marangu mtoni yeye anaenda kwao rombo mashati sijui mkuu au tarakea looooh!
BACK TO TOPIC!
Nimesikitishwa sanaa sanaaa na wimbo huu wa chura kufungiwa isivo halali bila hoja zozote za msingi wala mashiko. Sijaonaa kwa kweli. Labda wangeifungia video tuuuu sio kuzuia wimbo kupigwa kabisaaa! Jamaniiiii! Kwa ubaya gani wa kimashairi uliopo mule. Binafsi naipetition wizara ya utamaduni ifungulie hii nyimbo mara mojaaa kwa hiari yao wenyeweee ama sivo tunakuja na visingeli, mdundiko, vanga, kibati, mdumange, chakacha, mpaka wizarani hapooo kudai haki zetu za utamaduni wetu.
Naona mshauza nchi hii bado hamjaridhika, mnataka watu wote tuendekeza umagharibi wa yoyooo, whats up men, yooooo kingleza kingiii kisichoeleweka. MKATAAA ASILI NI MTUMWAAA. Hizo yooo yooo sio asili yetu wala nini kukurupukia tu na ukoloni mambo leo. Mkoloni katufirimbaaaa wewe miaka 800 mpaka Mwalimu kaja kutuokoa bado mnangangana na midubwana yake ya yoyooo . Chura ile ni singeli na ni ngoma yetu kabisaaa japo imetiwa instrumental na nakshi za studio ila bado singeli kabisaaa ile.
Uchezaji wa video ile ndo uchezaji wetu wa Africa, tena pale kafanya stara ukitukuta waswahili wenyewe tunajiachia kwenye ngoma zetu za usiku wa manane mpaka nguo tunavuaaa. Ndo utamaduni wetu huooo tufanyajeee sasa. Kucheza kama milingoti sio utamaduni wetu kabisaaaa. Wazaramo ndo sis nyonga teketeke hii sirikali inatutafuta nini lakini? Haijui sisi wazaramo tunamsemaaaa mwizi mpaka ana kufa kwa maneno tuu sasa tukianza kumsemaaa huyo waziri ajiandae.
Wimbo una ubya ganiiiiiii???? Chura ananesanesa kwani uongooo? Chura hanesiii? Au cheza kibobmarley ndo tusi lenyeweee. Sijaona tusi mie muleee, tafsiri tafsiri tu za watu ndo zimeleta shida. Kwa kasi basi singeli, vibati, chakacha, mdundiko, vanga, fagia uwanja, mduara, zote zifungiwe maana zinatafsiriwa sanaa ndivo sivo na ndo raha ya ngoma zenyewe. Wapi Snu sexy alipotukanaa kwenye ule wimbo mpaka usipigwe redioni! Mbona hujumaaa mchana kweupeeeee! Jamaniiii dhabi.
KUFUNGIA WIMBO WA CHURA NI UNYANYASAJI WA KITAMADUNI, CHI YETU WENYEWE UTAMADUNI WETU WENYEWE TUNAAMBIWA SI HALALI KAMA SI KUFANYWA WATUMWA NI NINI?
STORY MPYA YA CHURA ANANESANESA INAKUJA KESHO STAY TUNED NA NTAMSEMAAA WAZIRI HUMO NDANI MPAKA ATAJUTAAA KUUFUNGIA HUU WIMBO!
===============
UPDATE
Press release ya Snura 'Snuu sexy' na manager wake Hyperman HK imenisikitisha sanaaaaaa! Elimu ni kitu muhimu sanaaa kwa watz walio wengi. Yaani hio press release alioitoa dada wa mie Snuu sexy aibuuuuu tupuuuu.
Kifupi kaomba radhi kwa video ya kuzalilisha wanawake yaaani hata hajielewiii. Kabututwa tu na hyper man pale hawaelewi wanaongea nini mradi media zipo pale kama kesi mtuhumiwa ka plead guilty na kujifungaa jela kabisaa kabla ya hukumu. Kiukweli hawakujipanga sio Snura wala huyo hyperman HK.
Alikuwa na very valid points za kuwachallange basata kwa maamuzi yao ya jana, maskini mchaga yule kaaamua kumuachia mungu arudi kwao machame mungu tu atamlipia. Alichotakiwa kuongea snura ni kujitetea sio kujikandamiza kwa hoja zifatazo
1. Wimbo kimashairi ni msafiii haujamdhalilisha mwanamke kwa namna yoyote ile na basata hawana grounds kufungia audio
2. Kumfungia kazi za sanaa kwa kosa gani? Alipewa warning ngapi kabla hajafungiwa, sababu ni kosa la kwanza ilitakiwa apewe onyoooo.
3. Sawa video anaweza kuiombea radhi ila sio kuwa video imedhalilisha wanawake ama nene itakiwa aombe radhi kwa baadhi ya watu waliokwazika na hio video, manake wengine imetubamba mbayaaaa. Angetumia sanaa tu kwa wale mliokwazika mniwie radhi na nishaifutaaa, na alitakiwa atupe pole wale wateja wa visingeliii kwa kutufutia wimbo wetu.
Maybe ange argue kutoa clean version ya hio video ya Chura
Inshort Snura kaboronga boronga kwenye hio press conference ila sio kosa lake shule ndogo.
I am disapointed in hyperman HK. Kama meneja sio kumuacha msanii wako ajichuuze vile.
UPDATE
CLOUDS RADIO, CHURAAAAAAAAAAAAA IS BACKKKKKKKKKKKKKKKK! Ila video kubadilishwa HAYA NDO MANENO SASA. WOYOOOOOOO WOYOOOOOOO!