mapie Member Mar 21, 2014 95 43 Jun 19, 2016 #1 Wanaforum Kaka Na Dada. Kwanza Natanguliza salam kwenu, Naomba tafadhali kuuliza Kwa mtu yoyote anayefaham packages(Basic Salary and Other Benefits) ya Credit Officer wa UTT Microfinance. Naomba tafadhali unayefaham share pamoja nasi. Asante.
Wanaforum Kaka Na Dada. Kwanza Natanguliza salam kwenu, Naomba tafadhali kuuliza Kwa mtu yoyote anayefaham packages(Basic Salary and Other Benefits) ya Credit Officer wa UTT Microfinance. Naomba tafadhali unayefaham share pamoja nasi. Asante.
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,726 Jun 20, 2016 #2 Sidhani kama itazidi laki saba. Mishahara ya ma loan officers kwenye taasisi nyingi iko chini. Ila usijali we ingia tu hata wakikupa laki tatu. Nyingine 'utazitengeneza humo humo'.
Sidhani kama itazidi laki saba. Mishahara ya ma loan officers kwenye taasisi nyingi iko chini. Ila usijali we ingia tu hata wakikupa laki tatu. Nyingine 'utazitengeneza humo humo'.