Kuhusu msaada wa Internet

de andres

New Member
Feb 17, 2018
4
7
Naomba kunisaidia kama kuna ntu anajua jinsi ya kusolve tatizo la internet kwenye simu mana natumia laini ya Tigo data inagoma kupanda, ila nkitumia wifi za watu inakubali
IMG_20241014_095022_827.jpg
 
Kwanza update Fb yako hiyo maana inaonekana hiyo ni version ya zamani,, jaribu jaribu kuingia platform zingine tofauti na hiyo fb uone kama zitafunguka au hamna.

Mwisho kabisa angalia kama bando unalo,, maana kama ni data naona hapo iko poa kabisa 🤒 😎
 
Kama alivyoshauri mdau apo juu, cheki bando kisha angalia kama kwenye app nyingine mfano Browser inakubali.

Mwisho kaangalie APN kama umeset.

Setting >>Network>> Mobile Network >> Access Point Network >> Add New APN >> Name Tigo APN internet >> Save
 
Back
Top Bottom