What do you mean by this comment? Are you happy that innocent Tanzanians are killed or what? Nothing warrants taking another persons life. It has never worked and will never work.Walipo Peleka Jeshi kupiga watu Mtwara na ili kujenga bomba la gesi....Je wanajua sababu
Sasa iko wapi faida ya Gesi? Umeme ghali
Hata Wameshindwa kumpa Dangote gesi ya bei rahisi ili wananchi wapate Cementi bei nafuu wajenge
Eti nchi ya Vi wonder
Umeona vema kama ikipelekwa kwenye dini tu maana yake muuaji atakuwa ameshinda maana ndio lengo lakeHii vita ikigeuzwa kuwa dhidi ya uislam na waislam basi Tanzania imeisha.
Population distribution and alignment ya Tanzania hairuhusu kupiganwa vita vya namna hiyo.
Ustake kufanya kazi isiyokuwa ya kwako wala kutumwa. Mleta uzi ametoa security tip. Wachambuzi wa intel na usalama wataifanyia kazi na kisha kuona iwapo imekuwa useful au la.Hoja Dhaifa Sana Hii Ndugu
TrueWhat do you mean by this comment? Are you happy that innocent Tanzanians are killed or what? Nothing warrants taking another persons life. It has never worked and will never work.
KibitiSijaelewa msikiti uliofungwa ni upi , wa Kibiti au wa kilungule ?
Umeongea fact dada anguKuweni makini na kuingiza Uislamu katika vita hii!, msije mkatuma meseji potofu nchi nzima kuwa ni mapambano baina ya Waislamu na Serikali!, mwisho wake siyo mzuri maana meseji hiyo ikitafsiriwa itawagawa watu katika camp mbili Wao na Sisi! , mwisho wake siyo mzuri.
Juzi juzi tu Taifa limefanikiwa kutatua mgogoro wa kuchinja, Yaani achinje nani Muislam au Mkiristo?, Umakini na hekima za viongozi na vyombo vya usalama wakati huo vilituvusha salama.
Sasa tuwe makini, Kibiti na Mkuranga isije ikatugawa, Ikaamsha Dude baya zaidi kuliko mgogoro ule wa kuchinja!
Ni vyema Serikali izifanyie kazi underlying issues kwa umakini wa hali ya juu, na iwapige marufuku watendaji wake kutaja neno Dini au Uislamu katika mgogoro huu!, bali iutatue kimyakimya kwa kuwainvolve viongozi wa dini bila kuwahusisha na matatizo hayo kwa namna yoyote ili ipate ushirikiano mzuri!
Fafanua mkuu nahisi kama umeelewa peke yako hivi.Wanaafanya makosa kuua rais... ila wanaacha waliotuuza
Hee kwani dada huyu?Umeongea fact dada angu