Kuhusu kutokuwa na Imani na Spika wa Bunge la Tanzania

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,824
10,603
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.

Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.

Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.

Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
 
Hiyo rushwa iliyopatika kwenye dili la sukari ni kubwa na spika naye amepata mgao wake
 
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.

Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.

Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.

Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Chukia sheria za bunge usimchukie spika. Spika anasimamia sheria zilizopo zilizotungwa na both upinzania na cmm. Au ulitaka spika azikanyage ili uridhike?
 
Sheria ziko wazi lakini zimemwachia spika ajipimie mwenye iwapo amechukizwa ama lah.

Yeye amechagua upande wa watesi alikodanganywa na akavuruga upande wa wapiga kura. Sukariiiiiiiiiiiiiiiii
 
mnamlaumu Spika bure, kuna nguvu ya pesa ipo nyuma ya Mpina na kwa upande mwingine nyuma ya Bashe hivyo basi msidhani ni suala jepesi kihivo,Sukali Zambia na Malawi imejaa tena kwa bei poa lakini ukikutanana TRA hata na caton moja utatozwa faini mpaka ukome, ukijiuliza wanalinda maslahi ya nani huwezi jua. tusisahau sakata kama hili kati ya mbunge Mzindakaya na Waziri Simba, ni vita ya tembo kuumia nyasi.
 
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.

Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.

Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.

Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Ukiwa nyuma ya keybord?
 
Kuna mtu amewahi kaniambia Nchi hii Biashara ya Sukari ni kama ile ya madawa ya kulevya Kule Colombia au Mexico..inaendeshwa na Cartels..ukitaka kuingilia anga zao wanaweza kukupoteza..ulivyomtaja Mheshimiwa mzindakaya na Simba ndio memory imenirudia.. nadhan those days Spika wa sasa alikua O-level...kuna ma issues nchi hii ni very historical, someone needs no School Certificate to tell what the hell is going on right now....
Also NOTE: Caliber ya Wabunge waliothubutu kuhoji mamlaka kuhusu biashara hii...

Mzindakaya hakuwa ordinary MP wa YES SPEAKER SIR....
Ya MPINA naamini wote tunayajua ata kama hatuwezi kukiri kwa kinywa au hadharani but kwenye mioyo yetu naamini majority wanakubaliana nami kuwa jamaa hoja zake most of the times zinakuwaga na substances...but kwa historia ya REFA...I wouldn't bet a Stone kwa jamaa kuwa na tangible impact...ila atagusa nyoyo nyingi sana.
 
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.

Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.

Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa sasabu bunge ni kibogoyo ndio maana hadi sasa yuko anakula kodi zetu.

Nasubiri kitakachojili kisha nianzishe kampeni ya kutokuwa na IMANI NA SPIKA.
Ataenda kwenye bunge la kimataifa
 
Kwani wewe hujui kwamba hili ni bunge la CCM? Umesahau jinsi walivyo upata ubunge
 
Mtajua wenyewe yule mwehu alivyobaka demokrasia 2020 kujitengenezea bunge la kijani na tiifu ili limuongeze muda mlikuwa wapi??
 
Chukia sheria za bunge usimchukie spika. Spika anasimamia sheria zilizopo zilizotungwa na both upinzania na cmm. Au ulitaka spika azikanyage ili uridhike?
Wewe una demential si bure huyu betina alikosa uhalali tangu suala la bandari alivyojigeuza wakili wa serikali wewe ulikuwa wapi . Unatakiwa mboko za matako
 
Back
Top Bottom