Kuhusu kuoa mwanamke Bikra

Official Ric

Member
Jun 20, 2024
11
28
Habari zenu wanajukwaa,

Leo ningependa tuongelee kuhusu hili swala la kuoa wanawake Mabikra katika story zangu nikiwa kijiweni na Marafiki zangu nawambia kwamba nataka kuoa mwanamke ambaaye ni bikra wengi huwa wananipinga na wananiambia swala la mimi kuoa mwanamke bikra ni ngumu haiwezekani hata siku na moja na kwa kudinia ya ss hivi kwa mwanamke bikra kupatikana ni Ngumu labda nioe mwanamke wa miaka 11.

Sasa mimi naona mbona inawezekana kuoa mwanamke Bikra lakini siyo rahisi. Afu pia kuna Faida za kuoa mwanamke Bikra kama.

1. Wewe ndo unakuwa Mwanaume wake wa kwanza.
2. Anakuwa ana body count kubwa hivyo habari za kukamian kama nini hizo hazipo na faida nyingine nyingi

Lakin hili swala la kuoa mwanamke Bikra halimaanishi kuwa atakuwa mke Bora so lazima Tuzingatie na Vigezo vinginevyo vingi kwa ajili ya kutamfuta mke japokuwa Bikra ni moja ya kigezo ambacho wanaume wengi hatuzingatii.

Hivyo mimi ningependa kuwauliza wanajukwaa wazo lako ni lipi kuhusu ndoa na je vipi kuhusu kuoa mwanamke bikra na asiye bikra wewe unatoa ushauri gani.

Je, kuna uhusiano baina ya kudumu kwa ndoa na mwanamke bikra na asiye bikra. Ebu tupe neno lako litakalo nisaidia mm au kijna mwenzangu kwenye kutafut mke wake wa maisha.
 
Afu pia kuna Faida za kuoa mwanamke Bikra kama
1. Wewe ndo unakuwa Mwanaume wake wa kwanza.
2.anakuwa ana body count kubwa hivyo habari za kukamian kama nini hizo hazipo na faida nyingine nyingi
Hiyo Faida ya pili Umepigaje hapo?😥😥
 
Bikra zinauzwa siku hizi.

Kuna muha alioa demu wa kitanga na kuaminishwa ni bikra. Baada ya miezi 6 ya ndoa anakuja gundua demu ana watoto wawili tayari japo siku ya kwanza kulalana alikata seal mwenyewe.

Ukipata demu mnaoendana na kuhisi mnapendana wewe oa tu. Usitakie kujua aliyofanya au aliofanya nao kabla yako wewe.
 
Ushauri wangu sikuzote oa mwanamke aliye bikra. Wanawake wasio bikra wana trauma nyingi walizopata kutokana na wapenzi wao wa kwanza na kufanya mioyo yao kuwa migumu kama jiwe kama akigoma kuuponyesha moyo wake.

Pili wanawake wasio bikra wameunganishwa na wapenzi wao wa kwanza rohoni kwasababu ya damu. Damu ya ubikra ni agano na hili ndo huwafanya wao kuwafikiria maex wao eidha kwa mazuri au mabaya. Damu ile iliwathibitisha kuwa rasmi wao ni wake na mume kiroho so ilibaki kimwili.
 
"Shabu", kidogo Mchizi wa Nako 2 Nako apigwe kwa Demu miuno maarufu la kale...😊

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Katika ndoa mume ukiweza kuwa kiongozi mzuri asiyeilaza familia yake njaa basi uoe bikiri ama asiye bikira ndoa itosogea...ukiwa mume kilaza hata ukioa bikira atatokea mjanja wa kukuchapia tu...kuhusu uwepo wa mabinti bikira nenda kwenye makambi ya wasabato wamejaa tele.
 
Ushauri wangu sikuzote oa mwanamke aliye bikra. Wanawake wasio bikra wana trauma nyingi walizopata kutokana na wapenzi wao wa kwanza na kufanya mioyo yao kuwa migumu kama jiwe kama akigoma kuuponyesha moyo wake.

Pili wanawake wasio bikra wameunganishwa na wapenzi wao wa kwanza rohoni kwasababu ya damu. Damu ya ubikra ni agano na hili ndo huwafanya wao kuwafikiria maex wao eidha kwa mazuri au mabaya. Damu ile iliwathibitisha kuwa rasmi wao ni wake na mume kiroho so ilibaki kimwili.
Upo sahihi chief
 
Katika ndoa mume ukiweza kuwa kiongozi mzuri asiyeilaza familia yake njaa basi uoe bikiri ama asiye bikira ndoa itosogea...ukiwa mume kilaza hata ukioa bikira atatokea mjanja wa kukuchapia tu...kuhusu uwepo wa mabinti bikira nenda kwenye makambi ya wasabato wamejaa tele.
PUnguza hasira ndugu., mtoa mada kasema kuna sifa nyinfne nyingi za kuzingatia lakini yeye ame-specialize hapo kwenye bikira ni vyema ungebaki kwenye kipengere kikuu cha mada ambacho ni bikira
 
Back
Top Bottom