Bahatinasibu
Member
- Oct 22, 2021
- 73
- 77
Ndugu zangu msaada anayejua magonjwa ambayo kipimo Cha OGD kinaweza saidia kuyagundua, Na je OGD Inaweza onyesha hiatal hernia?
Inaonesha, mm ilionesha kwa ENDOSCOPYNdugu zangu msaada anayejua magonjwa ambayo kipimo Cha OGD kinaweza saidia kuyagundua, Na je OGD Inaweza onyesha hiatal hernia?