kwa hiyo umeamua kutupatia home work ya kuutafuta huo ujumbe wa HESLB, halafu ndo tuje tukupe tena jibu, Aloo!Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?