Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,313
- 152,113
Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema.
Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili wachafuliwe,. basi siku si nyingi na Simba yatawkuta.
Si lazima timu ipange kikosi dhaifu, bali zinaweza tumika mbinu nyingine za tofauti kabisa kama timu kususia mchezo ili Simba ipate point za bure, mchezaji kuunawa mpira kwa makusudi, n.k mradi tu ipatikane sababu ya kuwachafua kama tunavyoona kwa Yanga leo hii.