Kuhakiki moto mmewahi harakaharaka

MWALLA

JF-Expert Member
Dec 12, 2006
16,952
10,500

Mkuu mbona kwenye kuhakiki hiyo kitu ya kuulia wenzio umewahi tena wa kwanza lkn kwenye kuhakiki vyeti vyenu mbona imekuwa kama ni vitta
hebu mwambie kijana wako bashiti afanye/mfanye kama yule gavana wa kenya anaesingiziwa amefoji
ili wananchi Tupate kupumua.
 
Cc: tetty
Cc: tupatupa
Cc: lizaboni
 
Cc: tetty
Cc: tupatupa
Cc: lizaboni
Kama mliweza kuhakiki mashine zenu
za kusimamisha uhai kwa sekunde mnashindwaje kuhakiki mikaratasi inayowafanya muonekane waheshimiwa wakati kumbe wengine wamezungusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…