Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,375
Ndio maana Aya I kasema 'Enyi mlioamini mmefaradhishiwa kufunga kama walivofaradhishiwa walio kabla yenu ili mpate Kumcha MwenyeziMungu'Kwa utafiti niliuoufanya waislam walio wengi hawafungi ramadhani,wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza,majirani,marafiki,wazazi n.k
Yani ile kwamba watanionaje?
Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana.
Mungu hachezewi ipo siku tutajutia kumdhihaki kwetu!!
Ni kina nani hao waliofunga kabla?Ndio maana Aya I kasema 'Enyi mlioamini mmefaradhishiwa kufunga kama walivofaradhishiwa walio kabla yenu ili mpate Kumcha MwenyeziMungu'
Waumini Waliotangulia kabla yetu Enzi za Mtume Muhammad Salallahu 'Alayh WasalamNi kina nani hao waliofunga kabla?
Imeandikwa kama walivyofaradhishiwa waliotangulia,Soma vitabu.waliokuwa wakifunga manabii wote kabla ya kuja mtume muhhamad. kasome taurati na injili utaona nani alikuwa anafunga kabla
Kufunga wafunge wengine,nyie roho ziwaumeWengine wanashinda njaa tu mtu anasema maefunga mchana yupo na demu geto kajifungia alafu jioni anaenda kula futari dah acha tu yaani wanashinda njaa sana
Qur'an inasema hawatakua radhi wayahudi na wakiristo mpaka mfuate Mila zao...hapo anatamani waislam wasifunge Kama waoMkuu wewe ni zumbukuku kwa sababu kuu mbili
1. Huna uthibitisho wowote kwa ulisemalo
na upo uwezekano unataka tu kuuchafua uislam, nnaposema uthibitisho namaanisha "vivid" example kwakua hata mimi naweza kukaa nyuma ya keybord nikaamua kudanganya vyovyote nipendavyo na wapuuzi humu wakanipigia makofi
2. Hujaweka wazi hapa huo utafiti wako ulioufanya ulichukua sample space ya waislamu milioni ngapi kati ya mabilioni ya waislam dunani kote?
Na pia hukusema ulitumia research design ipi? Methodolojia gani na kwenye utafiti wako uliwalenga hasa waislam wa namna gani? na mwisho hukutueleza huo utafiti wako ulichukua muda gani kuisha
Ikumbukwe pia utafiti ili uwe utafiti unapaswa pia kutuwekea reference za machapicho, video ama audio ili iwe rahisi kwetu sisi kufanya marejeleo kwa anayetaka kuprove hayo uyasemayo
Bila majibu ya msingi ya maswali yangu hizo zitakua ni ndoto ama bangi na ukumbuke bangi pia inalewesha