The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,930
- 2,909
Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka.
Tunadanganywa kwamba eti ccm inashinda kwa sera nzuri sio kweli hata kidogo ccm inabebwa na mfumo mzima wa utawala wa taifa letu.
Mimi ninashauri hawa wanaoitwa wapinzani sasa hivi wasusie kufanya siasa ili tuanzie kwenye harakati maana hii ya siasa za upinzani ni kikwazo cha kupata maendeleo ya kweli ya kisiasa