Kufanya mitihani Private Candidate

R100

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
337
81
Hivi kuna faida gani na hasara gani za kufanya mtihani kama private candidate(pc)kwa huu mfumo wa division kwa upande wa kidato cha sita naomba ufafanuzi jamani kwa mliofanyaga mtihani wa kidato cha sita kama pc kwa mfumo wa division kwa kipindi hicho.
 
Hmna madhara kma utafaulu vzur,soma kwa bidii kila kiti kinaenda sawa huo ndo ushaur pkee wa msingi
 
Suala la msingi soma utafaulu, na chuo utachaguliwa bila tatzo. Achana na mawazo potofu kuwa ukiwa pc huwez kufaulu.
 
Mm nilijiunga na kidato cha tano kwa shule ya private mwaka 2014 lakini wakati wa usajili baadhi yetu tuliambiwa kama una four ya 32 na comb haijabalance inatakiwa ujiandikishe kama pc ikatubidi tufanye hivyo lkn wakati wa kujiunga kidato cha tano walituambia hata comb isipo balance ilimradi uwe na credit tatu matokeo yangu yalikuwa hivi
Civics~C
History~D
Kiswahili~C
English~C
Islamic knowledge~D
Biology~D
Geography~D
Mathematics~F
Book keeping~D
Commerce~E
Sikutegemea kuwa pc na kwa sasa nasubiri number bado hazijaja
na nasoma combination ya HKL.
 
Sioni haja ya kuwa temper hivo as long as mtihani ni mmoja for both school&private candidates so keep calm and wait for 2nd of may,2016.
 
vip kama mtu atafanya mtihani kama PC then akafaulu vizuri kuna ushindani wowote katka kuchaguliwa katka coz Fulani pamoja na aliefanya kama school candidate...yaani kuna kigezo katika kutoa priority ya kudahili
 
Yeah kitu kama hicho kipo sababu kubwa nio kwamba wanaassume wewe tayri upo competent zaid kuliko huyu aliyepitia mfumo wa kawaida..
 
Na vipi kuhusu division three kutochukuliwa chuo kikuu
 
vip kama mtu atafanya mtihani kama PC then akafaulu vizuri kuna ushindani wowote katka kuchaguliwa katka coz Fulani pamoja na aliefanya kama school candidate...yaani kuna kigezo katika kutoa priority ya kudahili
Hakuna tofauti yoyote kati ya PC na School candidate! Pass zenu ndizo zitakazowatofautisha!
Kwenye kuchaguliwa chuo PC au SC si kigezo! Kigezo ni cut off point kwenye kozi husika kwa chuo husika!
 
vip kama mtu atafanya mtihani kama PC then akafaulu vizuri kuna ushindani wowote katka kuchaguliwa katka coz Fulani pamoja na aliefanya kama school candidate...yaani kuna kigezo katika kutoa priority ya kudahili
Kuna jamaa ang alikuwa anatamani Sana kuwa daktar alivyoenda advance ye akafer alikuwa PCB tosamaganga akapata three ya point 17 mwaka uliofaata akarudia kama Pc pale makongo high school akapiga division 2 ya point 12 yaan uwezo wa kusoma Medical doctor lakini TCU wakampa faculty ambayo haikuwa haimo kichwani electronic and communication mpaka Leo yupo mwaka wa pili hivyo inawezekana..
 
Wadau mdogo wangu alifanya mtihani 2007,akapata div two,ila hakusoma physics japo chemistry na biology alifaulu kwa kiwango cha B kila somo,alipoomba kusoma medical officer akaambiwa bila Physics hawezichaguliwa.
Sasa anataka kurudia mtihani wake wa physics na Maths tu,kwa o level,hivi inawezekana akafanya mitihani miwili tu ili baadaye afanye hiyo medical officer yake?
 
Ndugu zangu sidanganywe kuwa sijui mtihani ni mgumu hakuna kitu kama hicho Na ukifaulu vizuri utachaguliwa unapopataka mtu asikupe vikwazo
 
Huyo anaweza Fanya masomo hayo mawili tu awahi akasajiliwe mapema nmeona watu wanafanya hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…