William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,750
- 2,389
Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM.
Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi hatuelewi. Kama swala dogo limeshindikana Ni mwendawazimu tu anayeweza kuamini kuwa
1. Watapata katiba mpya
2. Watakuwa Uchaguzi huru na haki (au wamehakikishiwa kuachiwa majimbo ya viongozi wao wakuu)
3. Tume huru ya uchaguzi.
Nakumbuka idd Amin aliulizwa juu ya Uhuru wa habari na kutoa maoni. Alijibu "naweza kuwahakikishia Uhuru wa kuongea lkn siwezi kuwaakikishia Uhuru baada ya kuongea"
Na hapa naona CHADEMA Sasa wako huru kuongea lkn hawana uhakika wa kuwa huru Sana baada ya kuongea vitu muhimu. Ndio maana wamechagua kusifu makubaliano yasiyokuwa na maridhiano.
Tuwaache na siasa zao. Pamba, kahawa, alizeti, choroko, dengu zinashuka Bei Sana. Mafuta, sukari, nguo, cement, bati, nondo Bei ghali Sana. Hii inaitwa un equal exchange. Hakuna wa kumtetea mkulima. Tukishindwa kudhibiti Bei ya mazao tunawakatisha tamaa wakulima masikini.
Wataishi maisha duni kwa siasa chafu na sizizo na tija isiweza kutatua changamoto zinazofanya washindwe kuendelea.