Yanga wajitahidi wasituangushe bana. Wasikubali goli zaidi ya tatu. Angalau wakipigwa mbili au tatu tutawaelewa
mkuu kwani na ww ni mikia fc?Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert!
Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu!
Usiniulize nipo timu gani?
Nakubaliana wewe lakini kwa kizazi hiki hilo linaweza lisifue dafu...duuu hii kitu iko kote #Africa coz nakumbuka Yanga vs APR mashabiki wa #Rayonsport waliishangalia #YANGA...hapo nagundua somo la #CIVICS/URAIA bado ni muhimu sana kwa nchi za Kiafrika that why wale #whitecolours hawakupata shda kukutawala ukipewa kioo tu unasaliti #Kijiji kizima...#PATRIOTISM#
Mkuu sasa yanga wakikubali matatu, watafunga mangapi...
Mkuu shida yako yanga apigwe
Washapiga ramli na washapewa matokeo kaka siunajua mpira wa bongo?Mkuu sasa yanga wakikubali matatu, watafunga mangapi...
Kwanini mnawaita mashabiki wa simba wakati yenyewe haichezi?Katika mtanange wa makundi kombe la dhirikisho klabu ya yanga itachuana na Tp Mazembe katika uwanja wa taifa!!
Je kuelekea mtanange huo kuna haja ya Yanga kutaka mashabiki wa timu hiyo pekee kuingia uwanjani bila kuwapa nafasi mashabiki kutoka timu nyingine esp wapinzani wao wa jadi kuingia uwanjani..? Ni sababu zipi kubwa zinazowafanya yanga kutaka kuthibiti mashabiki kutoka timu nyingine..