runtown
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 839
- 1,156
Habari wana jamvi
Baada ya kula mlenda kila siku nikaamua kubadilisha ladha na kula samaki some time nashindia soda ila sasa tabu inakuja ni pale nilipoamua kuchange ladha nimepatwa na kaugonjwa nahis ni kiriba tumbo gono
sasa sijui mr zero iq we unatumia utaalamu gan kwenye kubadilisha mboga. Au na ww yashakukuta yalonikuta mimi
Sent using Jamii Forums mobile app

Code:
gonorhea
Sent using Jamii Forums mobile app