Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 154
- 146
Bisheni sasa na hii
Kusema ukweli ,na ukweli ambao hamna mwana JF yeyote anayepingana nao .
Kubeti kumefanya vijana wengi wa sasa kufa kiakili..unakuta kijana siku nzima yenye masaa 24 wanawaza juu ya mikeka Yao ya siku na pale siku inapoisha mikeka inachanika
Jamani vijana tufanyeni kazi mazee
Sema napenda kutanguliza shkukrani zangu za dhati Kwa mamelodi Jana wamenipatia aftatu 😅