Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,688
- 8,441
2020 kulikuwa na uvumi kuwa jiwe atawapa majimbo ACT ili kiwe chama kikuu cha upinzani halafu chadema itakufa. Hapo ndipo chadema-maslahi wengi wakakimbilia ACT, akiwemo Kubenea, 30, n.kAlihamia ACT uchaguzi wa 2020 akaanguka na ndio akapotea mazima hadi leo.
Waliingia makubaliano ya kuacha kuripoti Habari za Chadema ili aipaishe ACT, sasa kwa bahati mbaya Chadema Haijawahi kuhujumiwa na wafanya hujuma wakabaki salama1. Huyu Mheshimiwa Mstaafu yupo wapi siku hizi?
2. Alisharejea au anarejea lini CCM ale mema ya nchi?
3. Daah, Kuna watu wanasahaulika haraka Sana.
Anaendelea na tasnia yake ya habari!1. Huyu Mheshimiwa Mstaafu yupo wapi siku hizi?
2. Alisharejea au anarejea lini CCM ale mema ya nchi?
3. Daah, Kuna watu wanasahaulika haraka Sana.
Chadema mliamua kumtosa kamanda Kubenea aliyewapigania Sana kupitia gazeti la mwanahalisi enzi za awamu ya 4 .Alihamia ACT uchaguzi wa 2020 akaanguka na ndio akapotea mazima leo.
1. Huyu Mheshimiwa Mstaafu yupo wapi siku hizi?
2. Alisharejea au anarejea lini CCM ale mema ya nchi?
3. Daah, Kuna watu wanasahaulika haraka Sana.
Mwamba kapoteaDuuu kweli zama zinapita na watu wake
Mpunga umekataxna madeni juuuuMwamba kapotea