Kubali kujifunza, kingereza ni lugha ya kikabila tu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Mar 14, 2023
301
1,030
MAKUBWA! ETI "WHO IS KNOW?" - "NANI ANAJUA?".

Ndugu zangu, kuuliza "Nani anajua?", hatusemi "who is know?".

Huwa tunasema, "who knows?".

Hivyo unapotaka kuuliza, "nani anajua?", wewe sema "who knows?".

NI MAKOSA KUSEMA:
1. Who is know?
2. Who is Knowing?

MIFANO YA SENTENSI:
1. Who knows to cook? - Nani anajua kupika?

2. Who knows to dance? - Nani anajua kucheza.

3. Who knows Zuchu? - Nani anamjua Zuchu?

4. Who knows me? - Nani ananijua? / Nani ananijua mimi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom