Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
48,241
34,731
Wanaukumbi.

⚡️Vyombo vya habari vya Israeli:

Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa.

Si haba wauaji wa watoto wanazidi kupata haki yao nao wajue uchungu wa vifo.

Leo majeruhi wengi kati ya wanajeshi wa Israel kutoka kaskazini mwa Israel, Golan na Gaza, walihamishiwa hospitalini.

1720127583493.jpeg
 
Habari njema kabisa machozi ya furaha yatububujika wapenda haki wote kusikia mazayuni wajiita taifa la Mungu la ajabu Allah anazidi kuwanyesha hayupo upande wa dhuluma za uhai wa wasio na hatia matokeo yake yanakufa kama makongoo pwani!
 
Wanaukumbi.

⚡️Vyombo vya habari vya Israeli:

Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa.

Si haba wauaji wa watoto wanazidi kupata haki yao nao wajue uchungu wa vifo.

Leo majeruhi wengi kati ya wanajeshi wa Israel kutoka kaskazini mwa Israel, Golan na Gaza, walihamishiwa hospitalini.

View: https://x.com/currentreport1/status/1808907877165453656?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Na ukisikia 12 ww zidisha mara 5 yake ndio idadi halisi hawajawahi kutaja namba halisi
 
Wanaukumbi.

⚡️Vyombo vya habari vya Israeli:

Kuanzia wiki iliyopita pekee, wanajeshi 12 wa Israel waliuawa.

Si haba wauaji wa watoto wanazidi kupata haki yao nao wajue uchungu wa vifo.

Leo majeruhi wengi kati ya wanajeshi wa Israel kutoka kaskazini mwa Israel, Golan na Gaza, walihamishiwa hospitalini.

Wanavyojisifiaga sass utasikia Idf AIDF utadhani ni kitu ch kipekee
 
Back
Top Bottom