Sawa chiefhuko kuna mshikaji wangu yupo hamna lolote analopata
Mimi siyo jamaa yako. Ila ni babu yako ambaye ninashangazwa na vijana wa dunia ya leo kama wewe.acha mdomo we jamaa
Uwakute sasa wanavyopangilia mbinu za upigaji hata kazi hawajapata bado CCM imeua taifaDah! Yaani hata kabla ya kuajiriwa, unawaza marupurupu kwanza!! Kwa hali hii Afrika itaendelea baada ya miaka 100 mbele.
mtihani huu wa kuchagua kazi ati wapi kuna nini wapi hakuna, umewafanya vijana wengi sana kuendelea kusota na bahasha mkononi na online kusaka ajira....Wataalaam
Naomba majina
sawamtihani huu wa kuchagua kazi ati wapi kuna nini wapi hakuna, umewafanya vijana wengi sana kuendelea kusota na bahasha mkononi na online kusaka ajira....
walio kubali kuanza na utendaji wa kujijji, kisha wakapanda utendaji wa kata baadae wakaingia utumishi halmashauri, leo hii wanainjoy kwenye mashirika makubwa ya umma na mawizara mbalimbali, kwa utuliiivu kabisa ...
Kila la kheri mdogo wanguhongereni nyie mlioleta maendeleo Africa