Kuajiri walimu wa sayansi pekee kuna madhara hapo baadae

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Hello Jf,

Leo tutoke kidogo kwenye ishu za madawa,

Twende kwenye elimu,

Hili swala la kuajiri walimu wa sayansi pekee, limenifanya nifikirie zaidi,

Waziri,may be hajajua kuwa ametengeneza mazingira fulani, kuwa it's either sayansi ama Sanaa,

Sasa hivi wanasanaa wametosha, anaajiri wanasayansi,

Kwa vile Ame set hivyo then watu watajifunza science ili waajiriwe, matokeo yake soko la ajira la walimu wa science litakuwa baadae over saturated, then tutarudi kutafuta walimu wa Sanaa tena,

Mie naona angeongeza masomo ya secondary, business na kilimo viongezwe, hata science kuna psychology na environmental science vinaweza kuongezwa pia,ili kucreate balance kwenye soko la ajira.

Thanks,

Tchao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…