MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,239
- 4,477
Afrika nzima, Hakuna Ligi inayosimamishwa kisa michezo ya shirikisho, Hii ni aibu na kuidhalilisha Ligi yetu kwa kuacha viporo kisa timu inashiriki michezo ya shirikisho! Ukijaribu kufuatilia timu zote zinazoshiriki michuano hiyo imeendelea na Ligi na michezo mbalimbali katika nchi zao.
Huu uzito tunaoupa shindano la shirikisho ni Tanzania pekee, Huko kwingineko yanaonekana ni mashindano ya kawaida tu na hayana hadhi na umuhimu kama Ligi za ndani. Ndiyo maana Leo hii ukiulizwa bingwa wa shirikisho 2019 tu ni ngumu kumkumbuka kwa sababu si mashindano yenye uzito!
Bodi ya Ligi inapaswa kujitafakari, Kusimamisha michezo ya Ligi kisa michezo ya shirikisho ni kuishusha hadhi Ligi yetu. Jaribu kufuatilia kama kuna timu yoyote ya shirikisho imeachiwa viporo wa ajili ya mechi za shirikisho! HAKUNA
Huu uzito wa shirikisho upo Tanzania pekee specifically mashabiki wa 5imba pekee, hayana uzito wala hakuna nchi wala wafuatiliaji wengine tofauti na timu husika! Angalia hata taarifa za habari Kenya, hauwezi kukuta wanareport michuano ya shirikisho!