Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,796
- 49,427
me mdadaTuanzie hapa kwanza ndugu mwanaJF mwenzangu; wewe ni KE au ME?
pm ya nini? unajua sababu niliachwa?Aisee basi njoo mi natafuta ebu tuma kapicha kako kwanza kabla huja ni pm
mimi binti yako ? naweza kuwa mama yako atii? mbona mialiko ya pm kila mahali jamani?Pole sana sana binti yangu, vijana wa siku hizi wanataka kula na kukimbia hawataki majukumu, kisha wanaamini kuwa kila mwanamke ana ladha nzuri Zaidi pas kujua kuwa bucha zote nyama ni ile ile tu. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mpenzi unayempenda aiseee, pole sana endelea na maisha. Uje PM
ni kweli ila sio vizuri kumuachia mtu maumivu ya moyo na ya kiakiliKuachwa ni kuachwa tu, kuwe na sababu au zisiwepo
hata kamaHuyo kashapata mwingine ila anatafuta pakutokea tu.
Sasa kama humtaki tena je??ni kweli ila sio vizuri kumuachia mtu maumivu ya moyo na ya kiakili
Back to the topic in accordance with your short explanation, inajidhihirisha kuwa kuna sababu nyingine tofauti kabisa na aliyokutajia kwa maana nyingine hicho alichosema ni kama tu njia ya kutokea na huenda alikuwa akiplan kwa muda sasa jinsi ya kukuacha.me mdada
kuachwa ni mwanzo mwingine wa kupata mwinginepm ya nini? unajua sababu niliachwa?
alichokisema kipi mkuu hakusema kitu ndo kinachoniuma miaka na miakaBack to the topic in accordance with your short explanation, inajidhihirisha kuwa kuna sababu nyingine tofauti kabisa na aliyokutajia kwa maana nyingine hicho alichosema ni kama tu njia ya kutokea na huenda alikuwa akiplan kwa muda sasa jinsi ya kukuacha.
Kwa mwanaume aliye na mchepuko mwingine tofauti na wake wa moyo au kama alikuwa anamtumia tu mdada kama mchepuko huja kumwacha kwa sababu zisizoeleweka kama vile kuacha kumtafuta hadi atafutwe mwenyenyewe, kumpa sababu zisizo na miguu wala kichwa kama ulivyopewa dear friend of mine, kumfokea just for a mini&minor mistake done ili achukue uhusiano huo na ajitoe mwenyewe (mdada).
Pole sana lakin but let him go, if he belongs to you back will come ("if the dove belongs to you, let it freely fly where it wishes, but back to you it will fly again").
Huu mchezo hauhitaji hasira, hata mimi yalinikuta ila alipofika 4m6 akatusua 0 ndo akaanza kunililia nikatupa kule maisha yakasonga.hata kama