Mimi ni kijana ninamiaka 27 na nilizaa na mdada mmoja ila hatukuoana.Sasa katika mahusiano tukashindwa kuelewana ikabid tuachane.Akaniachia mtoto akatambaa.Nimekua nikipenda na kupendwa sana na wadada wengine niwe nao ila kila nikimfikiria mama mtoto wangu naumia sana hata usiku saa nyingine silali.Namuwaza tu na niliambiwa yupo mkoa mwingine amekua bar maid so siwez rudiana nae tena.Ila roho inaniuma sana nahisi kama sikufanya maamuz sahihi...Na mtoto wetu ni binti yupo na bibi yake kijiji Bukoba nasikia kuna kipindi alienda kuwasalimia ila mi na yeye hatuna mawasiliano tena...Sijui nifanyeje?nimtafute nimrudie au nimpotezee?Hii nguvu ya kuendelea kumpenda inatokea wapi tena??????????????????Sijielewi...Ushauri wandugu...mimi ni mfanyakaz wa wizara Fulani na kipato change si kidogo najitosheleza
Hiyo shida inakuja kwakuwa inaonekana ulikuwa umempenda sana huyo mwenzi wako,na hiyo kitu itaendelea kukuandama iwapo hutapata mwanamke ambaye atakuwa ni bora kuliko yeye,cha muhimu muombe Mungu ili upate mke mwema kwani bila ya kumtanguliza Mungu haya mambo ya mahusiano ni mwiba unaoweza kukutoa roho.Mimi ni kijana ninamiaka 27 na nilizaa na mdada mmoja ila hatukuoana.Sasa katika mahusiano tukashindwa kuelewana ikabid tuachane.Akaniachia mtoto akatambaa.Nimekua nikipenda na kupendwa sana na wadada wengine niwe nao ila kila nikimfikiria mama mtoto wangu naumia sana hata usiku saa nyingine silali.Namuwaza tu na niliambiwa yupo mkoa mwingine amekua bar maid so siwez rudiana nae tena.Ila roho inaniuma sana nahisi kama sikufanya maamuz sahihi...Na mtoto wetu ni binti yupo na bibi yake kijiji Bukoba nasikia kuna kipindi alienda kuwasalimia ila mi na yeye hatuna mawasiliano tena...Sijui nifanyeje?nimtafute nimrudie au nimpotezee?Hii nguvu ya kuendelea kumpenda inatokea wapi tena??????????????????Sijielewi...Ushauri wandugu...mimi ni mfanyakaz wa wizara Fulani na kipato change si kidogo najitosheleza
Kabisaaa shogaake,.nasisi hatutaki single fazausiolewe na single father 2016(reverse)