Nedd Ludd
Senior Member
- May 16, 2023
- 143
- 257
Wakuu, ambao mnakijua/ mmesoma Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni, pale niliona watoa Elimu kuanzia ngazi ya certificate hadi Masters.
Sasa katika kuangalia kozi zinazotolewa pale, niliona hii "Management of Social Development" kwa ngazi ya degree. Katika kufuatilia katika vyuo vingine sijawahi kuona kozi hii.
Naomba kujua hii kozi inahusiana na nini na kazi zake ni zipi.