Enosh Ibrahim
Member
- Apr 12, 2024
- 18
- 5
Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
Agro-economics inatolewa SUA.Kuachana na BAF na accounting kuna kozi gani nyingine yenye fursa kubwa kwa EGM na inawatu wachache
Vp iyo kozi inahitaji watu kweli?Kasome Takwimu Bima (Actuary Science). Inatolewa UDSM. BUT kuipata lazima uwe na Div I Kali ya form 6
Ni wachache sana sokoni na wanamezwa moja kwa moja na Mashirika ya bima na mifuko ya Pension. Lakini pia kuliko usome uchumi wa kawaida ni bora ukasema Shipping Economics. Inatolewa pale DMI. Hii ngoma utaenjoy maisha baada ya Chuo maana ni fani mpya na kwa TZ inatolewa hapo DMI tu. Ajira zake utaipata kwenye makampuni ya usafirishaji majini na nchi kavu.Vp iyo kozi inahitaji watu kweli?
NAKAZIA HAPA,big up kiongozi 🙌Inahusiana na mambo ya uchumi na takwimu, ni kozi ya wanafunzi wa EGM pekee, ndani yake utasoma Economics kama major na Statistics kama minor. Uzuri wake unakuwa na degree mbili kwa wakati mmoja kwahiyo fursa yoyote ikotokea either wanataka mtakwimu au mchumi unadumbukia. Zamani hiyo kozi ilikuwa inasomwa na watu wachache na karibia wote walikuwa wanaajariwa serikalini. Lkn binafsi sikushauri uisome hiyo kozi kwa sbb sokoni uhitaji wake ni mdogo. Kasome BAF au ACCOUNTING itakulipa kuliko BAEST.
Unakazia ikimaanisha ni kozi nzuri sana au ni tofauti na hivyoNAKAZIA HAPA,big up kiongozi 🙌
Asante kiongozi imenipa mwangaInahusiana na masuala ya uchumi na takwimu ni nzuri sana fursa zake ni kama
1.unaweza kufungua saloon ya kiume au kike ukaendesha vizuri.
2.Duka la rejareja au jumla na ukapanga faida na hasara vizuri.
3.Mgahawa mzuri wenye bei nzuri ya vyakula.
4.Duka la vifaa vya pikipiki na bajaji.
5.vifaa vya simu na simu kwa ujumla .
6.kilimo na ufugaji (hapa utapaswa kushirikiana na mtu mmoja kutoka SUA)
7.kuuza vifaa vya ujenzi na vifaa vya umeme.
8.Biashara ya usafirishaji kwa gari au pikipiki.
9.Tuition center nzuri ambayo pia unaweza kufanya home teaching.
10.Udalali viwanja,nguo,vyombo n.k
Kila la kheri mkuu
vigezo vyake ni vipi mkuu na hicho chou ni chou gani mkuuNi wachache sana sokoni na wanamezwa moja kwa moja na Mashirika ya bima na mifuko ya Pension. Lakini pia kuliko usome uchumi wa kawaida ni bora ukasema Shipping Economics. Inatolewa pale DMI. Hii ngoma utaenjoy maisha baada ya Chuo maana ni fani mpya na kwa TZ inatolewa hapo DMI tu. Ajira zake utaipata kwenye makampuni ya usafirishaji majini na nchi kavu.
Sawa nime kuelewa ebu niambie ni kozi gani inasifa kama izo kwa mtu aliyesoma EGMUsisome course ambayo hauwezi kujiajiri that is key
Hakikisha hiyo course Ina wigo mpana kuajiriwa na kujiajiri
Usifate mkumbo.
Dar es Salaam Maritime Institute. Chuo cha Bahari-Dar es Salaam. Kuhusu vigezo ingi ktk website ya Chuo ka-download Prospector yaovigezo vyake ni vipi mkuu na hicho chou ni chou gani mkuu
Sawa nime kuelewa ebu niambie ni kozi gani inasifa kama izo kwa mtu aliyesoma EGM