jahtera
Senior Member
- Mar 27, 2020
- 122
- 242
Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ndugu yenu nimekuja mbele ya jukwaa hili nipate dondoo mbili tatu kuhusiana na kipi nisome katika kozi zifuatazo.
Bachelor degree in Human Resource, Markerting, Accounting and fianance na mwisho Procument and supply management.
Mwisho, Mimi ni mtumishi wa serikali, nimeajiliwa yapata miaka kumi na mbili iliyopita. Mwaka huu nimepata ruhusa ya kwenda masomoni naombeni wakubwa zangu mlionitangulia katika utumishi na ambao sio watumishi mshare na mimi idea zenu nazihitaji sana.