maelekezo Member Aug 21, 2023 19 7 Sep 17, 2024 #1 Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu
Detective J JF-Expert Member Oct 17, 2016 22,415 38,184 Sep 17, 2024 #2 maelekezo said: Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu Click to expand... Veta is more of kujuajiri zaidi. Mostly civil technician, welding,plumbing, auto mochanics
maelekezo said: Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu Click to expand... Veta is more of kujuajiri zaidi. Mostly civil technician, welding,plumbing, auto mochanics
W Wakuvelumba JF-Expert Member Feb 22, 2024 263 470 Sep 17, 2024 #3 maelekezo said: Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu Click to expand... Welding and fabrication cause...hii fani haijawahi kupitwa na wakati mkuu
maelekezo said: Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu Click to expand... Welding and fabrication cause...hii fani haijawahi kupitwa na wakati mkuu
Katurido Jr Member Jan 23, 2023 19 37 Sep 17, 2024 #4 maelekezo said: Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu Click to expand... Udereva ili ni bonge moja la course, Ajira zake ni nyingi sana. Soma unakuja nishukuru.
maelekezo said: Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo. Masada wakuuu Click to expand... Udereva ili ni bonge moja la course, Ajira zake ni nyingi sana. Soma unakuja nishukuru.
maelekezo Member Aug 21, 2023 19 7 Sep 24, 2024 Thread starter #5 Filter mechanics ufafanuzi kuhus hii kozi wakubwa na inasoko gan kwenye ajira