Veta is more of kujuajiri zaidi. Mostly civil technician, welding,plumbing, auto mochanicsNi kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Masada wakuuu
Welding and fabrication cause...hii fani haijawahi kupitwa na wakati mkuuNi kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Masada wakuuu
Udereva ili ni bonge moja la course, Ajira zake ni nyingi sana. Soma unakuja nishukuru.Ni kozi gani nzur kusomea veta kwa sas yenye soko la kujiajiri na kuajiriwa bongo.
Masada wakuuu