malamsha11 Member Apr 1, 2017 32 26 May 13, 2017 #1 Nina soma HKL (Advanced level). Naomba ushauri kuhusu kozi ya kusomea huko chuo kikuu..
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 May 13, 2017 #2 Kwani wewe uliplan kuja kuwa nani hapo baadae
malamsha11 Member Apr 1, 2017 32 26 May 13, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Kwani wewe uliplan kuja kuwa nani hapo baadae Click to expand... Mimi binafsi nilikomaa na masomo ya science na kilimo but nikaangukia hkl ambapo comb ilibalance na sikuwa na malengo yoyote na hkl
Joseverest said: Kwani wewe uliplan kuja kuwa nani hapo baadae Click to expand... Mimi binafsi nilikomaa na masomo ya science na kilimo but nikaangukia hkl ambapo comb ilibalance na sikuwa na malengo yoyote na hkl
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 May 13, 2017 #4 malamsha11 said: Mimi binafsi nilikomaa na masomo ya science na kilimo but nikaangukia hkl ambapo comb ilibalance na sikuwa na malengo yoyote na hkl Click to expand... BASI MKUU UNASOMEA KITU USICHOPENDA...KUWA MAKINI
malamsha11 said: Mimi binafsi nilikomaa na masomo ya science na kilimo but nikaangukia hkl ambapo comb ilibalance na sikuwa na malengo yoyote na hkl Click to expand... BASI MKUU UNASOMEA KITU USICHOPENDA...KUWA MAKINI