Kosa la usaliti: Nani mwenye Makosa Rafiki au Mkeo? : VIDEO

Gentlemen_

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
4,469
14,036
Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake..

Analalama kwa uchungu sana..

KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi.

Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri).

Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti na si yule aliyemfuma nae..
 
Attachments

  • AQPLKzjUGJUSSRJEOPpaqtE2Q9l_V_88myAA1hLNB6H58qHlUZKUgeFkXIWnwv3Q0YXzEZlE_uoDt6REN0N3h2SJmWrSEs...mp4
    5.4 MB
Wanaume wote hawana akili hapo
Mke kaingia cha kiume.

Mwenye mke anampigaje mtu anayempenda makonde hivyo halafu anaongea lugha chafu.

Na huyo mchepuko anakubali vipi mwanamke apigwe kipigo kizito yeye yupo tu..!
 
Wote wanamakosa
Rafiki anamtongozaje mke wa rafiki yake
Na mwanamke anamkubariaje mwanaume ambae ni rafiki wa mume wake

Km una mshare unachoma wote maana wote ni wasariti na wala akuna wa kumtetea apo wala wa kumpa lawamo, wote ni wasaliti
 
Msaidie jibu mtoa mada,,,,,,nani WA kulaumiwa mke au rafiki?
 
Back
Top Bottom