Koromije moja ya shule zilizopata umaarufu ghafla

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
505
872
Hivi sasa hata mtoto mdogo ukimtamkia neno Koromije atakwambia ni nini. Hali hii imechochea umaarufu mkubwa kwa shule inayodaiwa kiongozi mkubwa na mwenye jina kubwa hivi leo kusomea japo. Kwa maelezo zaidi Picha inahusika.
 
Umaarufu katika historia ya kutoa RC mwenye record ya kufeli mitihani.
 
Hivi sasa hata mtoto mdogo ukimtamkia neno Koromije atakwambia ni nini. Hali hii imechochea umaarufu mkubwa kwa shule inayodaiwa kiongozi mkubwa na mwenye jina kubwa hivi leo kusomea japo. Kwa maelezo zaidi Picha inahusika.
Koromije imepata umaarufu wa kutoa mkuu wa mkoa aliyepata sifuri
 
Kolomije imetuthibitishia kuwa unaweza kwenda kidato cha kwanza bila kujua kusoma na kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…