Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 725
- 1,288
Habarj wakuu
Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika.
Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa.
Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business.
Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia watu bidhaa sana sana kutokea Dubai ambapo nilipokuwa huko kwa muda wa miezi 6.
UZI WANGU HUU HAPA
Ukiacha simu kuna bidhaa kama laptops, desktops, maphotocopy machine na vifaa vya stationary, spare za magari ndo kabisaa usiongelee zipo za kumwaga na machimbo yake nayajua kwakuwa nimeshakaa huko.
Hii biashara ni nzuri na inalipa kwakuwa haihitaji mtaji wa bidhaa kwakuwa mteja mwenyew anafanya pre order ndio bidhaa inaletwa.
Changamoto ambayo nimekutana nayo ni kwakuwa mm nilikuwa huko kwenyevmasoko ya hizo simu
Huku dar es salaam alikuwepo mtu ambaye alitumia nyumban kwke kama ofisi kukamilisha masuala ya malipo (kupokea pesa) na Kumchukulia mteja mzigo wake(simu) pindi unapofika..
Kwa changamoto hii ya kutokuwa na ofisi rasmi nimepoteza baadhi ya wateja kulingana na wengi kama hauna ofisi rasmi iliyokuwa registered mtu hawezi kukuamin kukuachia pesa yake.
JAMBO LINGINE
Nahitaji kupanua soko kutoka dubai sasa nianze na uagizishaj wa bidhaa kutoka china ambapo huku zinapatikana bidhaa mpya kutoka viwandani
Utofauti wa china na dubai.Dubai unahitaji uwepo wewe mwenyew au awepo mtu kusimamia zoezi hilo
ila china unaweza ukafanya kila kitu online na biashara ikaenda vizuri tu.
Nirejee kwenye kichwa cha uzi kinavyosema
Ninachohitaji kutoka kwenu ni kusurppotiana katika hili kwa njia kati ya hizi zifuatazo kwa atakayekuwa tayr na jambo amelielwa na lipo ndani ya uwezo wake..
Ninachohitaji ni mkopo wa milioni 3.6 tu ambao nitautumia kufungulia ofisi ya hii biashara ...
Mchanganuo wake ni huu hapa ..
Ofisi = 1,500,000 (Miezi 3 @ 500,000 kwa mwezi)
Computer 2 = 500,000 ( @ 250,000 kwa moja)
Meza 3 = 600,000 (@ 200,000 kwa moja)
Viti 5 = 500,000 (@ 100,000 kwa kiti)
Usajili = 300,000 (Brela, TRA, Leseni)
Facebook Ads = 200,000( matangazo ya social media)
NB:- Ninachohitaji ni hivyo vitu tu hapo juu .Wala huhitaji kunikabidhi pesa wewe simamia malipo na manunuzi ya hivyo vitu kisha nikabidhi mimi nivitumie.
Njia ya kurejesha mkopo ni 600,000 kwa kila Mwisho wa mwezi ndani ya miezi 10..( october 2023 - july 2024)
Ninaamini kuna watu ambao hiki kiasi cha pesa wamekihifadhi tu labda kwa matumizi ya baday..
Mimi ningependa ukiwekeze katika wazo langu ili kiweze kukua maradufu..
Mwingine anaweza akawa ana zaidi ya kiasi hiki basi kupitia ofisi hii hii tunaweza tumia kama mtaji wa biashara kwa kuagiza mali kwa supplier kwa jumla na kuleta kuuza kwa wateja wa reja reja..
Hii ni model nyingne kwa wanaohitaji uwekezaji
Mimi nipo active 100% kwenye hii biashara kwahiyo nina muda wa kutosha kufanya research ya bidhaa na kujua uagize bidhaa ipi na inalipaje kisha tunakubaliana kiasi utakachopokea kama faida baada ya mzigo kuisha..
Naziona fursa nyingi ila mpka pale patakapokuwa na ofisi rasmi ndio watu wanajenga trust na kuamini hii biashara.
Background yangu ni masuala ya I.T na digital marketing kwa maana hiyoo masuala yotr ya online na marketing mimi mwenyewe ninayamudu..
nguvu kazi na watu wa ofisini wote wapi wa kuanza nao hii kazi..
Ninachomiss ni hicho kiasi tu cha kunianzishia safari yangu ya biashara mpyaa..
Nimeeleza kwa uwazi zaidi sikuhitaji masuala ya maelezo zaidi njoo pm.
Kila kitu nimeweka wazi nini nahitaji kufanya
Ninaomba sapoti yenu katika hili..
nakaribisha maswali , ushauri na maoni pia..
ASANTENI SANA
Title ieleweke hivi

Phone4Sale - Agiza simu used Grade A (Refurblished phone) kutoka Dubai kwa bei za jumla
AGIZA SIMU MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI AGIZA SIMU MOJA KWA MOJA KUTOKA DUBAI IPHONE iphone 6-64gb = 130,000 iphone 6 plus 64gb = 170,000 iphone 7 64gb = 200,000 iphone 7 128gb = 220,000 iphone 7 PLUS 128gb = 250,000 iphone 8 64gb = 270,000 iphone 8 256gb = 300,000 iphone 8 PLUS 64gb = 330,000...
www.jamiiforums.com